Wadau,hii ni habari nimeipata kwa ufupi kupitia kipindi cha magazeti cha Channel 10 asubuhi hii kwahiyo usinihoji maswali maana sina details yoyote ila kama unahitaji taarifa zaidi nunua copy yako.
Chanzo:Mtanzania
My take:
Kama ni kweli,utakuwa uamuzi mzuri na wa busara sana tuliokuwa tunautarajia.