Mgombea Urais wa UKAWA kutoka CHADEMA

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Wadau,hii ni habari nimeipata kwa ufupi kupitia kipindi cha magazeti cha Channel 10 kwahiyo usinihoji maswali maana sina details ila kama unahitaji taarifa zaidi nunua copy yako.

Chanzo:Mtanzania
 
Wadau,hii ni habari nimeipata kwa ufupi kupitia kipindi cha magazeti cha Channel 10 asubuhi hii kwahiyo usinihoji maswali maana sina details yoyote ila kama unahitaji taarifa zaidi nunua copy yako.

Chanzo:Mtanzania

My take:
Kama ni kweli,utakuwa uamuzi mzuri na wa busara sana tuliokuwa tunautarajia.
 
Kipimo cha upinzani ndio kipo hapa. . . . . . . kama ni maslahi ya chama na watu au nchi kama wanavyojinadi majukwaani. . . . .. Its either now or never. . . . .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom