Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha NRA, Almas Hassan ameshindwa kufanya mkutano wa kampeni kwa muda baada ya maafisa wa polisi kufika eneo lake la mkutano na kumtaka ashuke katika gari alilokuwa akilitumia kuzungumza na wananchi.
Hata hivyo mgombea mwenzake kwa nafasi ya Urais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.