Mgombea urais CHADEMA 2015- ushauri wa bure

Mgombea urais CHADEMA 2015- ushauri wa bure

Vote for Dr slaa ikishindikana kabisa basi Lowassa
 
Muda flani huwa nahisi c.c.yem lumumba huwa inaongozwa na watu walioshindikana milembe!

Sasa huu ushari waki.she.nzi unampa nani?,

labda mpe baba yake na ritz 1 .
 
tangu siasa za vyama vingi zimeanza cdm imewasimamisha kwa nyakat tofaut dr slaa na mbowe kugombea nafas ya urais. Lakin kwa bahat mbaya wanasiasa hawa hasa dr slaa wamekuwa wakimwagwa vibaya na chama dume la siasa za tanzania ccm.

Juhud zote za kudai ushindi kwa nguvu zimeshindkana na slaa kubaki kama rais kivuli au rais ambaye hakutangazwa kama wengne wanavyomwita

cdm chukueni ushauri huu: ni kweli dr na mbowe ni wanasiasa mahili lakin watanzania hawajawaamini kuwakabidh ikulu. Tafteni mtu mwingne agombee nafasi hii hata kama ni mh lema, msigwa, mnyika au hata sugu mkipenda lakin sio hawa wawil vingnevyo ikulu mtaishia kuiskia kwenye redio na magazeti. Chama kina wadau na viongozi weng mahili hebu wapeni nafasi pia

Ushari wako unamfaa Mungu wa Cuf Le profesee pumba.
 
Hii siyo CCM chama kina Katiba zenye Kanuni na taratibu, wala hakuna anayehitaji ushauri wako. Nenda kawashauri wavue Gamba, Waboreshe Elimu, wawatimu Mawaziri Mizigo na kumaliza mauaji ya Tembo, na kukomesha biashara ya madawa ya kulevya

Wamehiyari fedheha,si kukomesha hayo majanga. CCM ni sikio la kufa!
 
Nani kakwambia CHADEMA inahitaji ushauri wa Bure, Inajua ni nani anabudi operation zinazowanyima usingizi, Ninyi ndo mmepanic, Sasa kaeni mkao wa kupisha Ofisi Kuu. Hakuna mchezo wewe tembelea vijijini ndo utambue watu wameshabadilika. Miaka 26 IMETOSHA kutupatia uzoefu wa kujua namna CCM inavyoiba kura na udhaifu uliokuwepo sasa pengo lishazibwa. Si umeona wameweka wagombea 26 baada ya huyo mliyemununua Lushoto.

kelele za kwenye keyboard siku ya kupga kura unashnda umelala
 
Muda flani huwa nahisi c.c.yem lumumba huwa inaongozwa na watu walioshindikana milembe!

Sasa huu ushari waki.she.nzi unampa nani?,

labda mpe baba yake na ritz 1 .

hv memkwa ulihitimu au nako ulikimbia
 
cdm chukueni ushauri huu: ni kweli dr na mbowe ni wanasiasa mahili lakin watanzania hawajawaamini kuwakabidh ikulu. Tafteni mtu mwingne agombee nafasi hii hata kama ni mh lema, msigwa, mnyika au hata sugu mkipenda

Hapo hamna hata mmoja mwenye sifa za kuwa rais.

Agalau Mnyika anaweza ku grow into it, na yeye mmempa trials sana pale alipo kutokana na migogoro ya chama.

Watanzania wamechoshwa na CCM, lakini wakiangalia mbadala bado sana tu.

Mbowe na Slaa tushawachoka kugombea kila mara, Zitto ndo huyo kashaleta mpasuko, hao wengine hata miaka 40 tu sina hakika kama watakuwa washafikisha, ukiachilia mbali sifa za urais.

Lema,msigwa,Sugu wote waropokaji, hilo tu lishawatoa kwenye list ya mtu yeyote serious.
 
tangu siasa za vyama vingi zimeanza cdm imewasimamisha kwa nyakat tofaut dr slaa na mbowe kugombea nafas ya urais. Lakin kwa bahat mbaya wanasiasa hawa hasa dr slaa wamekuwa wakimwagwa vibaya na chama dume la siasa za tanzania ccm.

Juhud zote za kudai ushindi kwa nguvu zimeshindkana na slaa kubaki kama rais kivuli au rais ambaye hakutangazwa kama wengne wanavyomwita

cdm chukueni ushauri huu: ni kweli dr na mbowe ni wanasiasa mahili lakin watanzania hawajawaamini kuwakabidh ikulu. Tafteni mtu mwingne agombee nafasi hii hata kama ni mh lema, msigwa, mnyika au hata sugu mkipenda lakin sio hawa wawil vingnevyo ikulu mtaishia kuiskia kwenye redio na magazeti. Chama kina wadau na viongozi weng mahili hebu wapeni nafasi pia

Nani kakwambia km mbowe atatoka tena pale??atagombania hd awe mzee lkn atabaki kuwa msindikizaji milele,urais hauwendi kwa ukabila na udini.
 
Tangu YERICKO NYERERE alipoharibu propaganda za NAPE ni kama ccm imechanganyikiwa vile ! Kila mtu kawa msemaji !
 
Msimamisheni LEMA au SUGU apeperushe bendera ya chama kwenye ngazi ya Urais!

hawa wakiwa maraisi ni mwaka mmoja tu wa pili nchi itakuwa haitamanik maana hata akili zao hazijakaa sawa
 
Nani kakwambia km mbowe atatoka tena pale??atagombania hd awe mzee lkn atabaki kuwa msindikizaji milele,urais hauwendi kwa ukabila na udini.

kig'ang'anizi sana huyu sultani
 
Msimamisheni LEMA au SUGU apeperushe bendera ya chama kwenye ngazi ya Urais!

​teh teh teh tangu hao watu wapewe ubunge nimeudharau ubunge na hata chama kilichowateua kugombea hizo nafasi mwisho wananchi waliowapa kura....period!!!!
 
Back
Top Bottom