Mgombea urais CHADEMA 2015- ushauri wa bure

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,466
Reaction score
11,641
tangu siasa za vyama vingi zimeanza cdm imewasimamisha kwa nyakat tofaut dr slaa na mbowe kugombea nafas ya urais. Lakin kwa bahat mbaya wanasiasa hawa hasa dr slaa wamekuwa wakimwagwa vibaya na chama dume la siasa za tanzania ccm.

Juhud zote za kudai ushindi kwa nguvu zimeshindkana na slaa kubaki kama rais kivuli au rais ambaye hakutangazwa kama wengne wanavyomwita

cdm chukueni ushauri huu: ni kweli dr na mbowe ni wanasiasa mahili lakin watanzania hawajawaamini kuwakabidh ikulu. Tafteni mtu mwingne agombee nafasi hii hata kama ni mh lema, msigwa, mnyika au hata sugu mkipenda lakin sio hawa wawil vingnevyo ikulu mtaishia kuiskia kwenye redio na magazeti. Chama kina wadau na viongozi weng mahili hebu wapeni nafasi pia
 
Hii siyo CCM chama kina Katiba zenye Kanuni na taratibu, wala hakuna anayehitaji ushauri wako. Nenda kawashauri wavue Gamba, Waboreshe Elimu, wawatimu Mawaziri Mizigo na kumaliza mauaji ya Tembo, na kukomesha biashara ya madawa ya kulevya
 
huwa mnapanic cdm mkishauriwa tatizo
 
Tangu lini gamba akawa mshauri wa gwanda?

Anza kwanza kuvua gamba uvishwe gwanda, ndipo hapo angalau angalau ushauri wako waweza kupata nafasi ya kusikilizwa?
 
tangu siasa za vyama vingi zimeanza cdm imewasimamisha kwa nyakat tofaut dr slaa na mbowe kugombea nafas ya urais. Lakin kwa bahat mbaya wanasiasa hawa hasa dr slaa wamekuwa wakimwagwa vibaya na chama dume la siasa za tanzania ccm.

Juhud zote za kudai ushindi kwa nguvu zimeshindkana na slaa kubaki kama rais kivuli au rais ambaye hakutangazwa kama wengne wanavyomwita

cdm chukueni ushauri huu: ni kweli dr na mbowe ni wanasiasa mahili lakin watanzania hawajawaamini kuwakabidh ikulu. Tafteni mtu mwingne agombee nafasi hii hata kama ni mh lema, msigwa, mnyika au hata sugu mkipenda lakin sio hawa wawil vingnevyo ikulu mtaishia kuiskia kwenye redio na magazeti. Chama kina wadau na viongozi weng mahili hebu wapeni nafasi pia

Ushaur wa kijinga huo 2010 tulishinda ila mkaiba kura 2015 humibi tena, ushaur wako km mtoto wa chakechea!! Waiz wakubwa nyie mmefanya maisha kuwa magumu, najua hp ww umeingiza buku 7 ya lumumba
 
ndo maana rais slaa mnamwita rais kivuli?
 
Hii siyo CCM chama kina Katiba zenye Kanuni na taratibu, wala hakuna anayehitaji ushauri wako. Nenda kawashauri wavue Gamba, Waboreshe Elimu, wawatimu Mawaziri Mizigo na kumaliza mauaji ya Tembo, na kukomesha biashara ya madawa ya kulevya

Ofcourse, katiba na kanuni za chama zinataka ataegombea urais lazima awe ametokea kaskazini!
 
huwa mnapanic cdm mkishauriwa tatizo

Nani kakwambia CHADEMA inahitaji ushauri wa Bure, Inajua ni nani anabudi operation zinazowanyima usingizi, Ninyi ndo mmepanic, Sasa kaeni mkao wa kupisha Ofisi Kuu. Hakuna mchezo wewe tembelea vijijini ndo utambue watu wameshabadilika. Miaka 26 IMETOSHA kutupatia uzoefu wa kujua namna CCM inavyoiba kura na udhaifu uliokuwepo sasa pengo lishazibwa. Si umeona wameweka wagombea 26 baada ya huyo mliyemununua Lushoto.
 
tangu siasa za vyama vingi zimeanza cdm imewasimamisha kwa nyakat tofaut dr slaa na mbowe kugombea nafas ya urais. Lakin kwa bahat mbaya wanasiasa hawa hasa dr slaa wamekuwa wakimwagwa vibaya na chama dume la siasa za tanzania ccm.

Juhud zote za kudai ushindi kwa nguvu zimeshindkana na slaa kubaki kama rais kivuli au rais ambaye hakutangazwa kama wengne wanavyomwita

cdm chukueni ushauri huu: ni kweli dr na mbowe ni wanasiasa mahili lakin watanzania hawajawaamini kuwakabidh ikulu. Tafteni mtu mwingne agombee nafasi hii hata kama ni mh lema, msigwa, mnyika au hata sugu mkipenda lakin sio hawa wawil vingnevyo ikulu mtaishia kuiskia kwenye redio na magazeti. Chama kina wadau na viongozi weng mahili hebu wapeni nafasi pia

Moja, Nakerwa na uandishi wa namna hii, sijui ni kutokujua, kupuuzia au haraka zisizo na msingi?!

Pili, ingawa si mwanaCHADEMA, ila ningeuliza, huoni kama ushauri wako unawafaa zaidi CUF, UDP (no offence) maana wagombea wao ni walewale toka vyama vingi kuwepo nchini?
 
Magamba hawalali na hii M4C-OPD, sasa huo ni ushauri ama utahili. Jitu hujielewi kama mfu vile.
 
Moja, Nakerwa na uandishi wa namna hii, sijui ni kutokujua, kupuuzia au haraka zisizo na msingi?!

Pili, ingawa si mwanaCHADEMA, ila ningeuliza, huoni kama ushauri wako unawafaa zaidi CUF, UDP (no offence) maana wagombea wao ni walewale toka vyama vingi kuwepo nchini?

mi nimeona unawafaa cdm nawe leta thread yako uwazungumzie hao uliowataja, nkt!
 
Are you a foo.li.sh boy?

Mnapokuwa mnalipwa na na.pe naomba angalau mjitahidi hata kutunga uongo unaoendana na ukweli na siyo kukurupuka tu?

"chadema ni mpango wa mungu"
 
Back
Top Bottom