DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu Watanzania Kwa kusema kuwa vyombo vya Ulinzi na usalama vimejipanga vyema wakati wote iwe kwenye uchaguzi na hata baada ya uchaguzi
Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Oct 22,2025 Kinyerezi Wilayani Ilala Mkoani Dar Es Salaam kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya 2025
Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Oct 22,2025 Kinyerezi Wilayani Ilala Mkoani Dar Es Salaam kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya 2025