GE2025 Mgombea urais (AAFP): Ukifanya Fujo Zanzibar upelekwe Guantanamo

GE2025 Mgombea urais (AAFP): Ukifanya Fujo Zanzibar upelekwe Guantanamo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka.

Mgombea huyo ameutaka Umoja wa mataifa, Jumuiya ya madola SADC na EU kuwa tayari kwa mtu yoyote atakaeashiria kufanya vurugu katika nchi basi kupelekwa katika mahakama kuu ya dunia na asiishie mahakama ya Afrika Mashariki.

Mbali na hayo, alitumia nafasi hiyo kuwaomba viongozi wa dini zote kuendelea kushajihisha amani na kuisimamia amani hiyo.
 
Back
Top Bottom