Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,828
- 831,051
Kimbori Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza UKAWA wanaenda kwa timing wanajaribu kurekebisha loose ends zote ili watakapoingia kwenye mtanangane wawe kama wale jamaa wa navy seals na snipers wao HAWAKOPESHIHuu UKAWA ni shida! Ilipaswa mgombea ajulikane zaidi ya mwezi mmoha kuelekea kampeni ili kupunguza tofauti za kiitikadi, 'kumuuza' mgombea kwa wananchi, na kuratibu kampeni vyema, hasa masuala ya bajeti, timu, .... CCM wanapiga kam?peni kwa kusema wanamtambulisha mgombea. Urambuisho huo utafanyika nchi nzima. Nausikitikia upinzani wa Bongo usio na mwelekea sahihi na imara.
Last edited by a moderator: