Mwizi aseme kaiba nini?mbona CHENGE,LOWASSA,NGELEJA,MKULO wapo bungeni na ni wizi wanaotambulika na dunia nzima.
Hiyo inazuia watu wengine kumwita huyo mgombea Mwizi??Kwakuwa hakuna hoja ya kujadili. Kama kweli kijana ni mwizi na anamiliki silaha polisi wako wapi kufanya kazi yao?
Sasa mwizi anafanya nini uraiani? Police wafanye kazi yao sasa, na huyo mzee ni kituko, yeye kaishasema jamaa mwizi alikamatwa na bunduki alafu hapo hapo , kauza ng'ombe ili akamtoe mwizi police.Inamaana alitoa rushwa ili amtoe police.

Pu.mbu la mkweo, acha kukurupuka, huyo mzee siyo baba ake mzazi. Ni kama wale watoto waliokanwa na WasiraHivi Chadomo mbona huwa hamtaki kukubaliana na ukweli? Baba yake anasema mwanae mwizi nyie mnapinga ebooo.!
Sasa mwizi anafanya nini uraiani? Police wafanye kazi yao sasa, na huyo mzee ni kituko, yeye kaishasema jamaa mwizi alikamatwa na bunduki alafu hapo hapo , kauza ng'ombe ili akamtoe mwizi police.Inamaana alitoa rushwa ili amtoe police.
Kama mwizi hafai kua kiongozi wa chama makini kama Chadema.
Duh, labda walikosa mtu wa kmuweka.
Ushauri: Amfungulie baba yake kesi ya madai kwa kumchafulia jina, kwani hakuna kielelezo chochote kuwa ni mwizi. Ni mahakama ipi ilimtia hatiani kwa kosa la wiz? Kauli za kitoto kutoka kwa wakubwa zisirudishe nyuma nguvu za anti-magamba.
Huyo mzazi ni CCM damu, kaona mwanaye atachaguliwa Chadema na hilo linamuumiza yeye kama mwana-CCM na wala sio kama mzazi. Huyo mwanaye hana hata chembe ya wizi. Kama ni mwizi awasilishe ushahidi.
Kwani hujui au unajifanya kama hujui kma haujui basi......................Wizi haoooooooooooooooooooooooo Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa wizi kumbe chama cha wafadhili wa wizi................