Mgombea Ubunge wa Jimbo la makunduchi wakati ulee

Mgombea Ubunge wa Jimbo la makunduchi wakati ulee

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,777
Reaction score
6,269
Muangalie huyo mgombea Ubunge wa makunduchi,kule mkoa wa kaskazini unguja,halafu weka commenty

IMG-20210507-WA0005.jpg
 
Ila macho ya mama yetu dah! Unaweza ukatoka na hasira zako na jazba kibao lakini ukabahatika kukutana naye akakuangalia kwa sekunde kadhaa tayar hasira na jazba zote kwishaaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Picha bwana wakati mwingine ni kitu cha kinaogopesha kweli.
 
Back
Top Bottom