Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Seif Abalhassan, ameahidi kurejesha heshima ya Jiji la Tanga endapo wananchi watampa ridhaa kwenye uchaguzi ujao.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Abalhassan amesema moja ya vipaumbele vyake ni kuhakikisha Bandari ya Tanga inakuwa na manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi wa jiji hilo.pamoja na kuweka mashirikiano ya biashara baina ya Tanga na nchi kama China