GE2025 Mgombea Ubunge Chaurembo afanya mazoezi na vijana wa hamasa, Jimbo jipya la Chamazi

GE2025 Mgombea Ubunge Chaurembo afanya mazoezi na vijana wa hamasa, Jimbo jipya la Chamazi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Wakuu, huu ndiyo msimu wa miujiza kila kitu kinawezekana! 😂

Eti sasa Mgombea Ubunge Abdallah Chaurembo, kageuka mwongoza mazoezi kwa vijana wa hamasa Chamazi. Kwanini haya mazoezi ya uzalendo hayafanyiki mara kwa mara kabla ya Uchaguzi?, ila muda wa kampeni ghafla tunaona?

Soma: Mbunge Chaurembo aitosa Mbagala, atangaza kugombea Ubunge jimbo jipya la Chamazi

 
Back
Top Bottom