Ila kuwa mmoja wa machadema na kuiva chungu kimoja na kina wema ndio umalidadi siyo?Kuwa mmoja wa MACCM, kumempotezea umaridadi wake.
Sure, Isije ikawa cv ya kuuza K kwa wakubwahahaha we need her C.V .
Ni msomi wa sheria UDSM, kuna wakati ilisemwa kuwa JK kampa Ukuu wa Wilaya...hahaha we need her C.V .
Lakini haujazuiwa kugombea
CCM majina ya wanaume ni ya watoto wa vigogo tu.
Kimbisa.Jumanne Maghembe. Makongoro Nyerere.
Watoto wa maskini mkalime njugu mawe.
Ukweli
Naahidi kukupigia kampeni kwa gharama zangu.
Ila zina ladha tofauti ya kmoto huwezi fananisha na ya ng'ombeNyama ni ileile hata aumbweje!
JK alimpa u-DC ila Magu akamtema!