theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,726
Kwa akili ya kawaida una hisi hayo yatatekelezeka sometime hawa wagombea wawe wanapimwa akili...😳😳😳😳😳😳😳
Kwa akili ya kawaida una hisi hayo yatatekelezeka sometime hawa wagombea wawe wanapimwa akili...😳😳😳😳😳😳😳
anatafuta kura mwenzioKwa akili ya kawaida una hisi hayo yatatekelezeka sometime hawa wagombea wawe wanapimwa akili...
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Kujenga hilo ghorofa tu ni ufisadi tosha, akimaliza na yeye anawekwa ndani.
Atapata hizo kura kwa wapuuzi wenzake mtu mwenye akili timamu hawezi mpigia kura huyo.....anatafuta kura mwenzio
hahahahahahaHawa huwa tunasema "wafurahisha msafala"
Wanasindikiza uchaguzi na ndio maana huwa hawachukuliwagi serious ni kama Hashim Rungwe alivyosema "mkinichagua nitatumia helicopter kumwagilia mashamba"
sasa utashangaa anapita huyoAtapata hizo kura kwa wapuuzi wenzake mtu mwenye akili timamu hawezi mpigia kura huyo.....
Kwanza haoni aibu kusema uongo mbele ya watu wazima....
Kilimanjaro wasomi wengi sidhani kama watampa kura huyosasa utashangaa anapita huyo
subiri tena anaweza kupata nyingiKilimanjaro wasomi wengi sidhani kama watampa kura huyo
Hao wakweli wamefanya Nini la maana, kila siku kulitia hasara Taifa kwa chaguzi zisizo na msingi....Atapata hizo kura kwa wapuuzi wenzake mtu mwenye akili timamu hawezi mpigia kura huyo.....
Kwanza haoni aibu kusema uongo mbele ya watu wazima....