mzee wa mawe
Senior Member
- Aug 2, 2011
- 151
- 15
<br />Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la igunga kupitia Chama cha wanainchi CUF Leopold Mahona amelivuruga soko la mji wa Igunga na kusababisha biashara kusimama kwa muda. Mahona alipita sokoni hapo jana kusalimia wafanyabiashara wa soko hilo na kusikiliza matatizo yao. Ziara yake ilionekana kumvuta kila mfanyabiasha wa sokoni hapo na wote walikuwa na shauku ya kumuona na kuzungumza naye. HABARI ZAIDI SOMA MTANZANIA uk 3.
Kwanini huyu ameruhusiwa kuleta habari za CUF? Tuleteeni habari za chadema tu jamani sisi ni pipozzzz
Dr Slaa, kasema CDM wakishinda ubunge jimbo la Igunga, Saruji itauzwa mfuko mmoja Sh5000Kwanini huyu ameruhusiwa kuleta habari za CUF? Tuleteeni habari za chadema tu jamani sisi ni pipozzzz
Aliomba ruhusa kwa bwana wake CCM kwenda sokoni siku hizi kuna wabakaji wa wake za watu wao hawachagui CCM kwa CCM wanabakana tu.Mgombea wa kiti cha ubunge wa jimbo la igunga kupitia Chama cha wanainchi CUF Leopold Mahona amelivuruga soko la mji wa Igunga na kusababisha biashara kusimama kwa muda. Mahona alipita sokoni hapo jana kusalimia wafanyabiashara wa soko hilo na kusikiliza matatizo yao. Ziara yake ilionekana kumvuta kila mfanyabiasha wa sokoni hapo na wote walikuwa na shauku ya kumuona na kuzungumza naye. HABARI ZAIDI SOMA MTANZANIA uk 3.
<br />Aliomba ruhusa kwa bwana wake CCM kwenda sokoni siku hizi kuna wabakaji wa wake za watu wao hawachagui CCM kwa CCM wanabakana tu.
Alienda kusikiliza matatizo yao yeye kama nani?anachotakiwa ni kujinadi tu na hakuna kingine ameona maji yamemfika shingoni watu kwenye mikutano yake hawaendi sasa inabidi awatembelee watu.CUF siasa za tanzania bara zishawashinda wawaachie CCM na CDM tu CUF wajikite zanzibar basi.