Mgombea CCM aanguka jukwaani akiruka kichurachura!


lakini kwanini vile kura zinahesabiwa mannualy na sio mashine tena kama zamani, na wao wanajua kuwa sio wapiga kura wote ni waelewa, kwanini wakati wanazihesabu wasiachane na hizo errors sababu wao ni binadamu na hakika wakati wa kuhesabu watajua huyu mpiga kura hapa kakosea kuweka alama lakini aliyemchagua ni fulani alafu ihesabike tu. maana mi sioni kama kuna ubaya wowote sababu anayezihesabu ni mwanadamu, sio mashine. au mnaonaje wadau?
 
Mgombea kama huyo akikutana na mke wake akiskoo1 anajisifu kumbe nje anachapiwa.
 
Hapa Mungu anaingiaje, acha hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…