Mgombea CCM aanguka jukwaani akiruka kichurachura!

Shida za wananchi hazitatuliki kwa kupiga push up acheni kutuchora
 

Kuna ndoto nimeota,atatokea mmoja atafia jukwaani na huo ndio utakuwa mwisho wa CCM ya Magufuli!!
 
hahahahaha mwaka huu LOWASSA anawaimbisha wimbo anaotaka yeye teh teh kama namuona huyo mgombea anavyopiga huo mweleka
VIVA UKAWA!!!
 

Ndo huyu....:lol::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: Yani kama namuona hivi alivyoangukia pua




Miwani yake haikuvunjika????
 
MAGUFULIKA NDIO HABARI YA MJINI...sasa hivi hadi kwenye harusi....maharusi WANAMAGUFULIKA..... Kuanzia November 2015....sehemu za kazi kabla ya kuanza kazi ... KUMAGUFULIKA baada ya kabla kwenda Nyumbani watu watakuwa wanamagufulika tena!!
Rubbish
 
Angevunjika hata kiuno mjinga huyo badala kueleza sera wanafanya maigizo.
 
mbavu zangu weeeeeeeee...
peopleeeeeez..
 

mbona umetoka nje ya THREAD hii mkuu.

Anzisha yako na siyo kudandia gari moshi kwa mbele.

Hiyo inaitwa breaking issue. Inaweza ku-override jambo lingine lolote, wakati wowote, na mahali popote. Mahangaiko yote ya kisiasa tangu kuanzisha vyama fina output ni hiyo - KURA. Usilete mzaha Mkuu.
 
Hao dawa yao ndogo sn. Juma nyosol
 
Mgombea ubunge wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Tunduru Kaskazini,Mhandisi Ramo Makani alianguka jukwaani wakati akijaribu kuruka kichura chura.

Inasadikiwa kuwa alikusudia kunogesha staili ya mgombea urais wa tiketi ya CCM,Dr. John Magufuli ya kupiga Push Up..
 
Eeeeeehh... safi sana Hizo ni sifa za kijinga

Hizi kampeni za push up – bado muigizaji wa bongo movie JB na kitambi chake misifa itamponza kwenye majukwaa ya kampeni. JB na push up wapi na wapi
 
Kuna ndoto nimeota,atatokea mmoja atafia jukwaani na huo ndio utakuwa mwisho wa CCM ya Magufuli!!


nasikia Pombe kaahidi siku ya mwisho ya kampeni atachanika msamba kudhihirisha ushupavu wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…