amina mjanja anataka kura za wafuasi wa Lowasa.
Kwahiyo akishinda atamteua lowasa kuwa mgombea mwenza.
amina mjanja anataka kura za wafuasi wa Lowasa.
Kwahiyo akishinda atamteua lowasa kuwa mgombea mwenza.
Huyu mama hata kujieleza, ila ana presidential look. Yeye hotuba yake yote Lowassa tu.
Huyu mama amewatia aibu wanawake wenzake, hata kujieleza tu ameshindwa?!Huyo Mama Ni Bonge La POPOMA. Basi Kama Anampenda Lowassa Kwanini Hakusema Tu Akatwe Yeye Na Amwachie Lowassa Apete? NIMEMDHARAU.
Hamna kitu kama hicho, Amebugi.................Lazima apigiwe kura na TeamLowasa.
Hamna kitu kama hicho, Amebugi.................
Anatafuta kura za team lowasa naona pinda kavuta mdomo au ndo sura yake akiwa na frustration?Huyo Mama Ni Bonge La POPOMA. Basi Kama Anampenda Lowassa Kwanini Hakusema Tu Akatwe Yeye Na Amwachie Lowassa Apete? NIMEMDHARAU.
Huyu mama amewatia aibu wanawake wenzake, hata kujieleza tu ameshindwa?!
Eti anataka kufanya kaz na lowasa!! Amenikera sana huyu.......
nakuunga mkono huyu Amina ana presidential look kuliko migiro