Mgombea Amina S. Ali aahidi kumlipa Lowassa fadhila.

Mgombea Amina S. Ali aahidi kumlipa Lowassa fadhila.

Huyu Mama Urojooo wa Forodhani hakuwa na any good reason what's so ever kumtaja taja Gray hair
 
Ninawashangaa sana mnaoshangaa. Ni nani mwenye macho ya kuona asitambue hii design ni rangi sahihi ya teuzi za kikwete tangu aingie madarakani?

Jamani, msipoteze muda kushangaa. Ni muda wa kutafakari namna gani tuiweke nchi yetu ndani ya miezi mitatu ijayo.

Huyo Mama Ni Bonge La POPOMA. Basi Kama Anampenda Lowassa Kwanini Hakusema Tu Akatwe Yeye Na Amwachie Lowassa Apete? NIMEMDHARAU.
 
Huyu Mama Urojooo wa Forodhani hakuwa na any good reason what's so ever kumtaja taja Gray hair

Mkuu ana sababu za kumtaja tena za maana. Hiyo strategy yake ya kupata kura kutoka hiyo kambi ya Lowassa ambayo ina wapiga kura wengi. Endapo yatatolewa matokeo ya halali, atakayeungwa mkono na team Lowassa ndiye ataibuka mshindi ingawaje matokeo yatakayo tangazwa yanaweza kuwa vinginevyo.

Tiba
 
Mwanamke ana akili za kuvukia barabara tu na sio kuongoza nchi na rais akiwa mwanamke basi tz wote watakuwa wameolewa
 
Mkuu ana sababu za kumtaja tena za maana. Hiyo strategy yake ya kupata kura kutoka hiyo kambi ya Lowassa ambayo ina wapiga kura wengi. Endapo yatatolewa matokeo ya halali, atakayeungwa mkono na team Lowassa ndiye ataibuka mshindi ingawaje matokeo yatakayo tangazwa yanaweza kuwa vinginevyo.

Tiba

Tiba samahani sana kama she did have many reasons na hiyo strategy aliyoitumia it was wrong move !! kwa siasa za fitina za ccm ilikuwa acheze chini kwa chini na watu team Mamvi na siyo on open battle field. Hivi uli note zile kura zilivyopigwa? uliona masanduku ya kura yalivyotiwa alama jee uliona Makatibu wa mikoa walivyokuwa wanakusanya kura kuziweka kwenye masanduku ya kupigia kura,then kama uliona hizo ndiyo fitina za ccm kwenye chaguzi zote.
 
Nyie lieni lieni tu hapa lowassa lowassa uku mwenzenu katusua
 
NAOGOPA TU ASIJEKUWA REMOTED NA FAMILIA YA JK!!!

je ? ataweza kuwa kiongozi huru? atakayeweza kufuata misingi ya WENGI WAPE

KILA LA KHERI ATUREJESHEE LOWASSA WETU KTK NGAZI YA WAZIRI MKUU,.
 
Back
Top Bottom