Mgogoro wafukuta NCCR - Mageuzi

Mgogoro wafukuta NCCR - Mageuzi

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC02281.jpg
 
Baada ya kumalizika Uchaguzi mambo yanaanza kubadilika
 
aisee yaani NCCR naionea huruma sana, mbatia kukiua chama chake kisa ukawa, wamepoteza viti vingi vya NCCR bungeni, mtu kama kafulili tutammisi sana aisee,, inabidi NCCR wajitoe ukawa ili kujenga chama chao upya, naona joka la chadema limeimeza nccr vibaya sana,, ombi langu kwa mbatia: Jenga chama chako ili 2020 mpate wabunge wengi mjengoni, acha kutumika kuwa msemaji wa chadema na ukawa, mfikilie mtu kama davis kafulila ameanguka.
 
kwa hiyo mbatia ndo kasababisha kafulila kuanguka ubunge? je? kasababishaje?
 
Baada ya kumalizika Uchaguzi mambo yanaanza kubadilika

jamani, hivi NCCR bado ipo? chama hakina hata viongozi zaidi ya Mbatia na sijui anamuongoza nani! hakuna cha halmashauri kuu wala wajumbe wala katibu wala nini ni one man show ya Mbatia tu! teh teh teh!
 
aisee yaani NCCR naionea huruma sana, mbatia kukiua chama chake kisa ukawa, wamepoteza viti vingi vya NCCR bungeni, mtu kama kafulili tutammisi sana aisee,, inabidi NCCR wajitoe ukawa ili kujenga chama chao upya, naona joka la chadema limeimeza nccr vibaya sana,, ombi langu kwa mbatia: Jenga chama chako ili 2020 mpate wabunge wengi mjengoni, acha kutumika kuwa msemaji wa chadema na ukawa, mfikilie mtu kama davis kafulila ameanguka.

Vingi vingapi? Walikuwa na viti vinne wamepoteza vitatu na cha Manchali huwezi sema wanepoteza maana Manchali alijitoa
 
Zero alitaka kujiunga huko akaona boti lenyewe linazama
 
Mbatia alikuwa anajifanya kachanganyikiwa sasa kauwa chama ataisoma namba.
 
Mama tanzania mtepesha mdomo ndoma sauti ya zege halima mdee aliwahi kusema neno kuwa ni.....
 
Vingi vingapi? Walikuwa na viti vinne wamepoteza vitatu na cha Manchali huwezi sema wanepoteza maana Manchali alijitoa
Tuseme viti vinne ni asilimia mia moja (100%). Kwa mantiki hiyo ina maana NCCR wamepoteza asilimia sabini na tano (75%) ya wabunge. Hizo asilimia ni nyingi sana.
 
Back
Top Bottom