Mgogoro wa madiwani CDM biharamulo umefikia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro wa madiwani CDM biharamulo umefikia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaNanii, Oct 30, 2011.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ehee jamani,majuzi nimesikia mgogoro wa madiwani jimbo la biharamulo.sijui kisa wala mkasa na pia ata walipofikia katika kuumaliza kwani nimesikia pia kuwa kamanda lwakatare alienda kama msuluhishi,sasa kama kuna mwanajamii anayelitambua na amekwisha lisikia hili embu niwekeni updated nitambue
   
 2. C

  Chogo matata Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Napita tu
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  sehemu zote madiwani wa cdm ni migogoro mwanzo mwisho............nadhani zingekuwa zinatolewa semina za uwzeshaji wa namna ya kuendesha vikao mana miaka mitano c mingi,,,,itaisha na hakuna maendeleo tutakayoyaona...tutarudi kwenye uchguzi tuulizwe maswali yasiyo na majibu
   
 4. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  sasa yani m2 wangu kama ndo hali iko ivi cdm wanachama wke wategemee nini 2015,huu ndio mwanzo wa kufa wa chama.mara migogoro mwanza,arusha,shibuda.,this is hell na wanabidi wajipange upya kwakweli
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Yea,hilo ni tatizo kubwa linalotakiwa kuangaliwa kwa makini.. halmashauri zote zenye madiwani kutoka cdm kuna migogoro.hali hii si kiashiria chema kwa chama kinachokua..chama kifanye maamuz magum.
   
Loading...