Mimi nafikiri aitwe waziri wa Afya Znz Mh Juma Duni Haji awe msuluhishi wa mgogoro huo. Vinginevyo kama Sio Kikwete mwenyewe kuingilia kati basi mtaumbuka.
Huo ni ushauri wangu.
.Kama ni serikali ya ccm siji kukubali kusikiliza msuluhishi kwa kuhonga na kuchakachua hoja ccm hawajmbo, hivyo sitaweza kaa meza moja na ccm labda waje kutoa taarifa kuwa wanakuja kuota taarifa kuwa madai yetu yote yamekubaliwa bila mabadiliko, hapo nitakaa. Kwa sasa Ccm hawana sura ya usuluhishi.
ni ushauri sawa: lkn kumbuka kuwa hao wote hawana sifa na nguvu za kisheria kuwa wasuluhishi sanasana ni siasa tu ndizo zitakazo endelea: Tanzania tunao wataalamu waliosomea mambo ya Usuluhishi na Uamuzi watafutwe/wafuatwe ili waweze kutumika hapa ndo maala pake.