Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,573
- 28,533
Du... mbona unahadithia tabia za ujima!
Natamani kuisoma,waweza kutusaidia tuione ambao hatukubahatika?Hii vita ya sina mpaka akajifanya amekufa imewahi kuletwa umu kwa kirefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina yupo, hajafa, anaishi hadi leo! Alikimbilia CHATTLE, Ila sahivi karudi anakaaa Dodomaa, hupendelea sana nguo za kijani
Ongezea mkuu, nilimtumia babangu huu uzi alifurahi sanaNimeipenda sana hii hasa ilipotumia majina halisi ya maeneo husika.
Natamani niongezee sema nitachafua uzi mana wakosoaji hawaishiwi maneno
Fanya mambo kiongoziNimeipenda sana hii hasa ilipotumia majina halisi ya maeneo husika.
Natamani niongezee sema nitachafua uzi mana wakosoaji hawaishiwi maneno
Nitaambiwa nianzishe uzi wangu wakati ni nyingeza tuFanya mambo kiongozi
Na Huu ndio ukweli unaojulikana mkuu.Hawa wasimuliaji wanatofautiana kuna wengine wanasema Mangi wa mashami alitaka kulitawala eneo loote la kibosho lakini huyo sina alikuwa korofi na akapata taarifa baada ya kujifanya ammekufa mangi wa wamexhame alikuja na watu wake kuja kuwagawia maeneo. Alipotaka kuushuhudia mwili wa marehemu alifumuliwa ubongo na sina na watu wake wote waliuawa
Wakati ndo wapo busy kuhalalisha michepuko kisa Ibrahim alikua nayo hawaangalii mbele madhara ni makubwa kiasi ganiMleta mada una hoja hili tatizo la kuzaa ndani na nje ya ndoa lina matatizo makubwa mfano waisraeli na wapalestina wanatwangana hadi leo watoto wa baba mmoja ila mama tofauti .Baba yao wote ni mangi IBRAHIM Mangi wa WAISRAEL aliyezaa Isaka baba yao akazaa mtoto mwingine Ishmael kwa mama mwingine wa kufikia ambaye ndie baba yao waarabu wapalestina
Kila mmoja anachukia mwenzie na kwa mwenzie hilo tatizo naliona ndio liko kwenu
wanume waache kuzaa zaa ovyo
Uko sahihi Mia kwa mia kuzaa nje ya ndoa na mchepuko kubaya sana hata Ibrahim baba wa imani kulimpa shida hadi leo Watoto wa nyumba ndogo wapalestina na Watoto wa nyumba kubwa waisrae wanatwangana hadi leoWakati ndo wapo busy kuhalalisha michepuko kisa Ibrahim alikua nayo hawaangalii mbele madhara ni makubwa kiasi gani
Mimi ni mmashami ila nimekulia mkoani. Katika mchakato wa kimaisha nikapata mpenzi mmoja mkibosho. Mtoto sio mchezo, kweli nilimpenda sana pale Arusha. Nikataka kuoa, mzee!!!!!! Baba, Mama na wajomba walikuwa 🔥 kweli hadi nikashindwa muoa Mickness wangu. Sasa nina mnyamwezi wangu maisha yanaendelea.Naona kuna umuhimu wa hili swala kushughulikiwa kiroho,tafuta watu unaowafahamu wenye uelewa wa hayo mambo walifanyie kazi,swali,ina maana hata sasa wakibosho na hao wamashami hawaoani???
Kwa usomaji wangu wa Biblia sijaona sehemu wapalestina wa sasa i.e waarabu ni watoto wa Ibrahim toka kwa Ishmael. Naomba unisaidie Yehoyada hili limetoka wapi?Uko sahihi Mia kwa mia kuzaa nje ya ndoa na mchepuko kubaya sana hata Ibrahim baba wa imani kulimpa shida hadi leo Watoto wa nyumba ndogo wapalestina na Watoto wa nyumba kubwa waisrae wanatwangana hadi leo