Mgogoro wa kufanya Mazishi Tegeta

sly boy

JF-Expert Member
May 29, 2016
346
156
Ndugu waligoma kumsaidia ndugu yao wakati anaumwa kwa miezi mitano bila msaada wowote, cha ajabu kafariki wamewahi vitu na kudai wanataka kumzika wakati majirani waliohangaika na mgonjwa wakiwa wameandaa chakula na wamesha chimba kaburi.

Chanzo: ITV
 
Ndivyo ilivyo mtu anaugua mpaka anakufa hata kwa kukosa pesa ya dawa tu,lakini kusafilisha maiti hata bukoba wanaenda
 
....majinga hayo yalikuwa yanasubiri afe,njaa mbaya sana!
 
Majirani wako right kuwakataa ndugu wa marehemu kama walishindwa kumsaidia akiwa mgonjwa hao c ndugu tena, ata marehemu alishawakataa
 
Back
Top Bottom