Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
Ajenge mahusiano naye kivipi wakati tangu anakua mpaka sasa hakumtafuta wala kumjari.Endelea kumuheshimu na uishi nae kwa tahadhari. Nenda kwa baba yako halisi ukajenge mahusiano nae, bado hujachelewa!
Ni kweli mkuuMkuu ni Maneno Mzito sana na Umeyaongea kutoka upande wa ndani kabisa wa Nafsi yako na nilitaka Pia wafuatiliaji walione hilo kwa Undani kabisa Kuwa Mke/Mpenzi/hawala/mchepuko ni Rafiki siyo Ndugu Yako..... Na Rafiki huwa ana Mipaka Japo wao hawataki kuamini kuwa Kunapashwaa Kuwa na Mipaka kwenye Mahusiano.....
Hakuna mahali aliposema baba yake mzazi akimkataa.Ajenge mahusiano naye kivipi wakati tangu anakua mpaka sasa hakumtafuta wala kumjari.
Yeye aonyeshe upendo kwa huyo baba yake wa kambo maana ndiye aliyemfanya mpaka akakua.
Umenena jambo mkuu.Uyo baba, yako anakupend sema anashindwa kudeal na kua, wewe sio mwanae wewe ni mtoto jifunze kua understanding
Umehukumu vibaya missasingeleta noma yote hyo.
Yes baba mzazi hakukataa kabisa, ananifahamu vizuri kama ni mtoto wake, sio leo tu amekuwa na kawaida ya kuja kuniona nikiwa mdogo sijitambui, kwa mujibu wa maelezo ya mama.Hakuna mahali aliposema baba yake mzazi akimkataa.
Wote ni baba zake!
Umeshakuwa mtu mzima sasa una maamuzi yako binafsi na usiangalie watu wataonaje.Yes baba mzazi hakukataa kabisa, ananifahamu vizuri kama ni mtoto wake, sio leo tu amekuwa na kawaida ya kuja kuniona nikiwa mdogo sijitambui, kwa mujibu wa maelezo ya mama.
Ila sasa ndugu wa baba mlezi wote wanamjua baba mzazi, ilikua tu hakuna wa kuniambia, sasa ikitokea nimejenga mahusiano upande wa pili itafahamika kuwa nimemjua baba mzazi, sijui kama kutakuwa na amani tena.
Asante sana demi.Umeshakuwa mtu mzima sasa una maamuzi yako binafsi na usiangalie watu wataonaje.
Shikamana na baba yako mzazi bila uwoga wowote, na kama hajawahi kukukataa ni vizuri zaidi. Upendo na mahusiano na baba mzazi ni muhimu mno katika maisha yako.
Baba yako mlezi mpe heshima pia maana mbali na kukuchukia lkn amekulea miaka yote hiyo.
Unamaana gani kusema mamaake ni noma? Pengine alimzaa huyu b4 kuwa na huyo mwanaume.....always ups n down huwa zipo tu .ondoka hapo nyumbani . ila usiache kumuheshimu. achana nae sio kosa lake . kuchapiwa mke kunauma sana kijana. ila mama yako nae ni noma .
Kwsbb lipumbavu, we utamchukiaje mtoto ambae hana hatia? Si basi angeachana na mama yake. Tena ningekuwa mimi, ningefanya mpango hata wa kumdhuru tu. Pumbavu zake kbs.Mkuu kwa nini Umeamua Kutumia neno ...Lizeeee
Huyo mama alichepuka au aliolewa akiwa na mtoto?Hapo wakulaumiwa ni mama aliyechepuka (cause) hayo yanayokupata ni effect (matokeo ) tu ambayo huyo baba yako mlezi ni reactions zake kama binadamu wengine tu ambao amesingiziwa mtoto, kuanzia hapo solution ndio unaweza ukupata
Mkuu usiseme hivyo utasemaje anamchukia wakati amemsomesha kuanzia vidid had Chuo? Hizo hasira ni za kawaida tu....Kwsbb lipumbavu, we utamchukiaje mtoto ambae hana hatia? Si basi angeachana na mama yake. Tena ningekuwa mimi, ningefanya mpango hata wa kumdhuru tu. Pumbavu zake kbs.
Mamtu mengine sijui yakoje.
Mleta mada aje aeleze vizuri kuwa Mama yake alimhadithia kuwa alibeba mimba ya nje baada ya kuolewa au alikuja na mimba yake???Huyo mama alichepuka au aliolewa akiwa na mtoto?
Hapana ukiamua kusuka, suka tu au kunyoa nyoa tu. Huyo alimpenda kinafiki na huwezi jua labda nguvu ya mama ndio imemfikisha hapo.Mkuu usiseme hivyo utasemaje anamchukia wakati amemsomesha kuanzia vidid had Chuo? Hizo hasira ni za kawaida tu....
Ila Mkuu tumuulize kwanza huyo Mtoto Je Mama yake alimwambia kuwa alibeba mimba yake ya huyo mwanaume mwingine akiwa na huyo baba mlezi au aliolewa akiwa ameshazaliwa. Usije ukatokwa Povu kumbe kosa ni Mama na kwa kosa hilo likawa limemkwaza sana au hujui kuwa alibambikiziwa pia na amekuja kujua kuwa kijana siyo mtoto wake baada ya kuwa ameshazaa hao watoto wengine... Usiwe mwepesi wa kuropoka MkuuHapana ukiamua kusuka, suka tu au kunyoa nyoa tu. Huyo alimpenda kinafiki na huwezi jua labda nguvu ya mama ndio imemfikisha hapo.
Kuna familia zinaishi vzr na wala huwezi jua km si mtoto wa mzee mwenye nyumba.
Hilo li zee li roho mbaya ndio inalisumbua na chuki za kipuuzi.
Mkuu unaposema aangalie Maisha yake na Familia Yake .. Familia yake ipi wakati bado ni sehemu ya hiyo familia ya Baba Mlezi???Achana nae ndg, fanya yako. Bora mradi ww hujamkwaza basi atajijua mwenyewe na chuki zake. Anune asinune fanya km vile ww haikuhusu.
Angalia ustaarabu wa maisha yako na familia yako. Mpotezee kbs, fanya km vile hujawahi kumuona kwenye maisha yako
Kasema ana mke na watoto, hiyo ndio familia yake kwa sasa. Aachane na habari za kwao.Mkuu unaposema aangalie Maisha yake na Familia Yake .. Familia yake ipi wakati bado ni sehemu ya hiyo familia ya Baba Mlezi???