Embu leta ushahid wap Iron dome zmefail wkt iron dom ilitungua 90% ya roket za hamas alizopewa na iran na bdo israel ana patriotic air defenc missiles,arrow-2,arrow-3 na bdo kuna david sling ambayo ipo under devlpment itaingia kwny servic mwakanIran ana S-300 ndege za Israel zitaishia kutunguliwa tu, Israel Iron Dome zake zimefail, Missile za Iran zitapenya tu
Wakristo lieni tu
Wagalatia wakiona hii maneno hata ile damu ya bwana(dodoma wine) hainyweki kwa raha.
Inabidi wakanywe mataptap tu kupunguza mawazo.
Teh teh teh teh.
Embu leta ushahid wap Iron dome zmefail wkt iron dom ilitungua 90% ya roket za hamas alizopewa na iran na bdo israel ana patriotic air defenc missiles,arrow-2,arrow-3 na bdo kuna david sling ambayo ipo under devlpment itaingia kwny servic mwakan
Hivi Hii Iran ambayo miaka ya 60 Israe iliwapiga ikiwachanganya na mataifa karibu yoooooote ya kiarabu Leo inaweza kusimama peke yake na Israel?
Mkuu kuna watu wapumbav.u sana.
Wanajidai wamesahau 6 DAYS WAR.
Israel ilivichanganya viarabu vyote ikavitandika mpaka vikaomba msamaha.
Mkuu kuna watu wapumbav.u sana.
Wanajidai wamesahau 6 DAYS WAR.
Israel ilivichanganya viarabu vyote ikavitandika mpaka vikaomba msamaha.
Hii historia umeandika/ umeibuni mwenyewe?Hivi Hii Iran ambayo miaka ya 60 Israe iliwapiga ikiwachanganya na mataifa karibu yoooooote ya kiarabu Leo inaweza kusimama peke yake na Israel?
Si ndio hapo mkuu! Watakuja members wengine wakwambie eti Wairan ni Waarabu.Ujenge tabia ya kujisomea kabla ya kuja humu, hiyo Iran lini imewahi kupigana na Israel?
Si ndio hapo mkuu! Watakuja members wengine wakwambie eti Wairan ni Waarabu.
Kwani kuna tija gani kwetu kuwa Iran si arabs au ni arabs???Si ndio hapo mkuu! Watakuja members wengine wakwambie eti Wairan ni Waarabu.
Tabia za hawa watu wanakumbwa na ushabiki usio na maana, mwisho ndio wanakuja na argument za ajabu sana mkuuSi ndio hapo mkuu! Watakuja members wengine wakwambie eti Wairan ni Waarabu.
Kuwe na tija au kusiwe na tija hata wewe haikua lazima uje kukomenti katika hii post, so far hakuna tija...MI Afrika bwanaK
Kwani kuna tija gani kwetu kuwa Iran si arabs au ni arabs???
Mukulu vipiWa Iran kihistoria ni waarabu ila Hawapo kwny Arab league...
Wa Iran kihistoria ni waarabu ila Hawapo kwny Arab league...
Mukulu vipi