Mgogoro wa Israel na Iran

Mgogoro wa Israel na Iran

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Huenda Vita Mpya Ikaanza Kati Ya Israel Na Iran Baada Ya Israel Kufanya Shambulizi La Anga Nchini Syria Katika Milima Ya Golan.Watu Sita Waliuawa Ikiwemo Wapiganaji Wa Hizbullah Na Kamanda Wa Jeshi La Iran.Na Iran Imeapa Kujibu Shambulizi Baada Ya Israel Kumuua Kamanda Wake.
Na Hizbollah Wakiapa Kutoa Jibu Kali Kwa Israel
Huenda Ukatokota Mgogoro Mpya Mashariki Ya Kati Either Kati Ya Israel Na Iran Ama Israel Na Hzbullah
 
Iran ana S-300 ndege za Israel zitaishia kutunguliwa tu, Israel Iron Dome zake zimefail, Missile za Iran zitapenya tu
 
Last edited by a moderator:
Huenda Vita Mpya Ikaanza Kati Ya Israel Na Iran Baada Ya Israel Kufanya Shambulizi La Anga Nchini Syria Katika Milima Ya Golan.Watu Sita Waliuawa Ikiwemo Wapiganaji Wa Hizbullah Na Kamanda Wa Jeshi La Iran.Na Iran Imeapa Kujibu Shambulizi Baada Ya Israel Kumuua Kamanda Wake.
Na Hizbollah Wakiapa Kutoa Jibu Kali Kwa Israel
Huenda Ukatokota Mgogoro Mpya Mashariki Ya Kati Either Kati Ya Israel Na Iran Ama Israel Na Hzbullah

Same story,same people ......!!
 
Home> Israel & the Region
Israel said to send calming messages to Iran via Russia
Jerusalem sought to reassure Tehran, Hezbollah that it does not want tensions to escalate to war, Channel 10 reports
ByTimes of Israel staffJanuary 24, 2015, 10:55 am
Email
Print
Share
IDF troops in the Golan Heights, northern Israel, on January 20, 2015 (Photo credit: Basal Awidat/Flash90)
Newsroom
Email the Newsroom
Facebook
Twitter
Related Topics
Mohammed Allahdadi
Quneitra
Hezbollah
Israel has sent calming messages to Iran and Hezbollah via Russia, Channel 10 reported Friday night, clarifying that it is uninterested in an escalating conflict with Tehran or the Lebanese terror group.
Get The Times of Israel's Daily.
The report, which cited unnamed government sources, followed days of tensions along the northern border, after Iranian and Hezbollah leaders vowed revenge for an airstrike in Syria which left 12 Iranians and Hezbollah operatives dead. The airstrike has been attributed to Israel and though Jerusalem has not officially confirmed it, anonymous government sources have admitted as much.
The dead included an Iranian general and senior Hezbollah commanders, Muhammad Issa and Jihad Mughniyeh, son of slain terror mastermind Imad Mughniyeh.
According to Channel 10, Israeli officials told Moscow that Israel viewed the strike as an act of self-defense, and that Hezbollah had forced Israel’s hand by building an offensive infrastructure on its border. Jerusalem stressed it did not want the situation to deteriorate into a regional conflict. Russian leaders conveyed this message to Beirut and Tehran.
 
Huenda Vita Mpya Ikaanza Kati Ya Israel Na Iran Baada Ya Israel Kufanya Shambulizi La Anga Nchini Syria Katika Milima Ya Golan.Watu Sita Waliuawa Ikiwemo Wapiganaji Wa Hizbullah Na Kamanda Wa Jeshi La Iran.Na Iran Imeapa Kujibu Shambulizi Baada Ya Israel Kumuua Kamanda Wake.
Na Hizbollah Wakiapa Kutoa Jibu Kali Kwa Israel
Huenda Ukatokota Mgogoro Mpya Mashariki Ya Kati Either Kati Ya Israel Na Iran Ama Israel Na Hzbullah

Ni kweli Iran imekiri kamanda wao kuuliwa na shambulizi la Israel, lakini sijaona Iran ikisema kulipa kisasi labda tuunganishe na hiyo link.
 
Tusiombe ikatokea hiyo vita ikatokea ni hatari itakua Iran ni machizi
 
ni kweli iran imekiri kamanda wao kuuliwa na shambulizi la israel, lakini sijaona iran ikisema kulipa kisasi labda tuunganishe na hiyo link.

iran imeapa kujibu shambulizi soma link hii
http://kiswahili.irib.ir/habari/iran/item/46093-dehqan-mashambulio-ya-israel-golan-yatajibiwa
 
Hivi Hii Iran ambayo miaka ya 60 Israe iliwapiga ikiwachanganya na mataifa karibu yoooooote ya kiarabu Leo inaweza kusimama peke yake na Israel?
 
Back
Top Bottom