Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 8,988
- 11,862
Wadau wa JF,
Kutokana na mgogoro unaoendelea Iran na umuhimu wa Mlango wa Bahari wa Hormuz katika usafirishaji wa mafuta duniani, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu kama kuna njia mbadala ya kupitisha mafuta bila kutegemea njia hiyo.
Swali kubwa lililojadiliwa ni:
Je, mabomba ya mafuta (pipelines) yanaweza kuwa suluhisho la kupitisha mafuta kwa njia nyingine badala ya kupitia Mlango wa Bahari wa Hormuz?
Mada hii imejadiliwa kwa undani zaidi na kwa mtazamo wa kitaalamu na mtaalam wa sekta ya mafuta kwenye LinkedIn, ikieleza changamoto za kusafirisha mafuta kwa malori, gharama zake, pamoja na uwezekano wa kutumia mabomba ya mafuta kama suluhisho.
Kwa yeyote anayependa kufuatilia mjadala huo kwa undani zaidi, anaweza kupitia hapa:
www.linkedin.com

Why Moving Oil by Trucks Instead of Tankers Would Never Work? And Why Pipelines Are the Real Solution? Thank you to everyone who has shared various ideas about alternative oil transport routes… | Elia Wilinasi Sikanyika
Why Moving Oil by Trucks Instead of Tankers Would Never Work? And Why Pipelines Are the Real Solution? Thank you to everyone who has shared various ideas about alternative oil transport routes during the current tensions around the Strait of Hormuz. It is always useful to discuss possible...