Mgogoro wa CUF, Kuna vijana kutoka Pemba kuja kuvamia ofisi kuu Buguruni.

kamati ya ufundi

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
416
439
9e64560215270258e41668ff1c600856.jpg

KUFUATIA MGOGORO WA CUF, KUNA VIJANA KUTOKA PEMBA KUJA KUVAMIA OFISI KUU BUGURUNI.

KUNA vijana wametoka Pemba wamepangwa kuja kuvamia OFISI KUU BUGURUNI kesho.

Vijana wengine wametoka Arusha nao pia wamepangiwa kuungana na wenzao ili kuvamia Ofisi kuu kesho.

MKURUGENZI wa Ulinzi CUF Mhe. MASOUD MHINA amesema wanazo taarifa zote na amekwisha WAPANGA Blue Guards kila idara.

Pia kunakikao Cha WAASI kitafanyika MABIBO na ninaweza kumshirikisha Maalim SEFU NDEVU CHAKAVU.

TUNAOMBA wahusika waheshimu SHERIA za nchi na wasithubutu kufanya kikao na kujitambulisha kwa VYEO sio vyao.

Wakishindwa kutii maelekezo hayo wasitulamu tutachukua hatua Kali kwa AFYA ya chama.

SASA JICHANGANYENI MUONE CHA MTEMAKUNI

JINI LIKITOKA KWENYE CHUPA HALIRUDI KAMWE.

CUF TUMEJITAMBUA HATURUDI NYUMA NI MBELE KWA MBELE MPAKA 2020.
 
Vijana wa bwana yule marinda hamna mnategemea kubebwa na lumumba
 
chadema wanachangia sana kuiua kafu.Lema ameleta fuso zima la wanywa viroba toka Arusha waje kufanya fujo,sijui vichochoro vya buguruni kama wanavijua vizuri.Waambieni buguruni ukipigiwa kelele za mwizi unauawa ndani ya dakika 5,wasije wakarudi maiti kwao,
 
Mgogoro wa hiki chama pamoja na profesa Lipumba kutumika lakini maalim Seif naye ni tatizo,kwani naye anakifanya kama kampuni yake binafsi hivyo kwa mwendo huu kitagawanyika muda si mrefu
mkuu Halinachi!...CUF imeshagawanyika tayari!
 
  • Thanks
Reactions: OTG
Badala ya kupiga mayowe , kwanini usitumie nafasi hii kumwita Francis Mutungi aje kukaa getini ?

Tulishawaambia kwamba , hawa polisi wanaopewa maagizo iko siku watachoka , mmeona sasa ?
 
chadema wanachangia sana kuiua kafu.Lema ameleta fuso zima la wanywa viroba toka Arusha waje kufanya fujo,sijui vichochoro vya buguruni kama wanavijua vizuri.Waambieni buguruni ukipigiwa kelele za mwizi unauawa ndani ya dakika 5,wasije wakarudi maiti kwao,

Mi nawaombea sana Wachaga na Wapemba waingie pale Buguruni Wakutane na wale Wazee wa Bosnia, Chechnia, Cosovo Matawi yaliyotikisa Jiji Enzi za Che Nkapa na Kamanda Gewe na Tibaigana!
 
walijaribu kina Bashange kuonja sumu kwa ulimi,kilichowapata hawatakisahau maishani mwao
 
Mtatiro Tangu kapewa Uenyekiti hewa na Seif wa CUF hajawahi kuweka kalio lake kwny Kiti cha Ofisi yoyote ya CUF Tanzania Bara. Kutwa yupo Facebook ku post vichekesho, na Pakitokea Birthday ya Seif Zanzibar ndio anasafirishwa kuhudhuria sherehe na kupewa Picha za keki za ku post Mitandaoni
 
Hamuoni aibu, CUF ni ya wanzanzibari, nyie mnangangania ya nini, anzisheni ya kwenu
 
Hiki chama kimeamua kujikaanga chenyewe!siamini kama sasa ni chama cha upinzani maana chenyewe kinapingana!nasikia Kuna Wasomi Wa Ngazi Ya Uprofesa
 
Jini Lipumba lilivyotoka kwenye chupa kuja kwasumbua wengine mliona sawa,subirini muone utamu wa kusaliti chama kwa njaa zenu maaamae
 
Back
Top Bottom