Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
tatizo EAC ni rais mmoja tu mwenye sifa ya kuitwa kiongozi - Uhuru K.Rais mstaafu wa Tanzania ameelezea masikitiko yake na hatua ya serikali ya Burundi kususia kikao cha mwisho cha mazungumzo na hali hiyo inaonyesha "msimamo wa muda mrefu " wa viongozi wa Burundi wa kutoshiriki katika mazungumzo baini ya Warundi, aliandika Mkapa.
Lakini hasa Benjamin Mkapa amesikitishwa kuona hakuungwa mkono vya kutosha katika jitihada zake, kwanza na Jumuiya ya Afrika Mashariki: "kutofanyika kwa mkutano wa kilele kuhusu mgogoro wa Burundi ulisababisha mimi kukosa uungwaji mkono wa jumuiya," amesema rais mstaafu wa Tanzania.
Bw Mkapa ametoa wito wa kuepo kwa mazungumzo yatakayo washirikisha wadau wote kwa kufuatisha ajenda iliyowekwa katika mazungumzo ya awali na ameomba viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushinikiza uungwaji mkono kwa mchakato wa uchaguzi kwa kuweka masharti kwa uchaguzi wa kuaminika.
Trt swahili
Wamemdharau na hataki kujiongeza, Tanzania yake ina matatizo kibao ya watu kupotezwa, kutekwa, upinzani kunyanyaswa na dola, halafu eti akawasuluhishe Burundi.Rais mstaafu wa Tanzania ameelezea masikitiko yake na hatua ya serikali ya Burundi kususia kikao cha mwisho cha mazungumzo na hali hiyo inaonyesha "msimamo wa muda mrefu " wa viongozi wa Burundi wa kutoshiriki katika mazungumzo baini ya Warundi, aliandika Mkapa.
Lakini hasa Benjamin Mkapa amesikitishwa kuona hakuungwa mkono vya kutosha katika jitihada zake, kwanza na Jumuiya ya Afrika Mashariki: "kutofanyika kwa mkutano wa kilele kuhusu mgogoro wa Burundi ulisababisha mimi kukosa uungwaji mkono wa jumuiya," amesema rais mstaafu wa Tanzania.
Bw Mkapa ametoa wito wa kuepo kwa mazungumzo yatakayo washirikisha wadau wote kwa kufuatisha ajenda iliyowekwa katika mazungumzo ya awali na ameomba viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushinikiza uungwaji mkono kwa mchakato wa uchaguzi kwa kuweka masharti kwa uchaguzi wa kuaminika.
Trt swahili
Yeye mwenyewe ni tatizo ktk sakata hili. Ameenda pale ameside na upande na unafki wa ki CCM nani atamuelewa huko ?!.Wamemdharau na hataki kujiongeza, Tanzania yake ina matatizo kibao ya watu kupotezwa, kutekwa, upinzani kunyanyaswa na dola, halafu eti akawasuluhishe Burundi.
Pathetic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zee Pumbavu Sana hilo ndo limetuletea matatizo makubwa watanzaniaYeye mwenyewe ni tatizo ktk sakata hili. Ameenda pale ameside na upande na unafki wa ki CCM nani atamuelewa huko ?!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkapa mbona tangu D Day One upande mmoja ulikushtukia baada ya kuuoneshea ubabe! Badala ya kusuluhisha? Umevuna ulichopanda.Rais mstaafu wa Tanzania ameelezea masikitiko yake na hatua ya serikali ya Burundi kususia kikao cha mwisho cha mazungumzo na hali hiyo inaonyesha "msimamo wa muda mrefu " wa viongozi wa Burundi wa kutoshiriki katika mazungumzo baini ya Warundi, aliandika Mkapa.
Lakini hasa Benjamin Mkapa amesikitishwa kuona hakuungwa mkono vya kutosha katika jitihada zake, kwanza na Jumuiya ya Afrika Mashariki: "kutofanyika kwa mkutano wa kilele kuhusu mgogoro wa Burundi ulisababisha mimi kukosa uungwaji mkono wa jumuiya," amesema rais mstaafu wa Tanzania.
Bw Mkapa ametoa wito wa kuepo kwa mazungumzo yatakayo washirikisha wadau wote kwa kufuatisha ajenda iliyowekwa katika mazungumzo ya awali na ameomba viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushinikiza uungwaji mkono kwa mchakato wa uchaguzi kwa kuweka masharti kwa uchaguzi wa kuaminika.
Trt swahili
Nilishangaa sana EAC kumtea ccm kuwa mpatanishi hiyo ni aibu ya CCM sio EACWamemdharau na hataki kujiongeza, Tanzania yake ina matatizo kibao ya watu kupotezwa, kutekwa, upinzani kunyanyaswa na dola, halafu eti akawasuluhishe Burundi.
Pathetic.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu,umeunganisha doti vizuriWamemdharau na hataki kujiongeza, Tanzania yake ina matatizo kibao ya watu kupotezwa, kutekwa, upinzani kunyanyaswa na dola, halafu eti akawasuluhishe Burundi.
Pathetic.
Sent using Jamii Forums mobile app