Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,482
- 9,242
Rais mstaafu wa Tanzania ameelezea masikitiko yake na hatua ya serikali ya Burundi kususia kikao cha mwisho cha mazungumzo na hali hiyo inaonyesha "msimamo wa muda mrefu " wa viongozi wa Burundi wa kutoshiriki katika mazungumzo baini ya Warundi, aliandika Mkapa.
Lakini hasa Benjamin Mkapa amesikitishwa kuona hakuungwa mkono vya kutosha katika jitihada zake, kwanza na Jumuiya ya Afrika Mashariki: "kutofanyika kwa mkutano wa kilele kuhusu mgogoro wa Burundi ulisababisha mimi kukosa uungwaji mkono wa jumuiya," amesema rais mstaafu wa Tanzania.
Bw Mkapa ametoa wito wa kuepo kwa mazungumzo yatakayo washirikisha wadau wote kwa kufuatisha ajenda iliyowekwa katika mazungumzo ya awali na ameomba viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushinikiza uungwaji mkono kwa mchakato wa uchaguzi kwa kuweka masharti kwa uchaguzi wa kuaminika.
RFI swahili