Mgogoro: Manispaa ya Temeke yagawa Kiwanja cha TBC kwa Wananchi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,810
11,979
TBC, Temeke kuingia kwenye mgogoro

Shirika la utangazaji Tanzania na Manispaa ya Temeke huenda zikaingia kwenye mgogoro baada ya ofisi ya mkuu wa wilaya kwa kushirikiana na Mkurugenzi kuvamia eneo linalomilikiwa na TBC eneo la Tazara na kuanza kuwagawia wananchi maeneo ya biashara.

Eneo hilo linamilikiwa kisheria na TBC, lakini licha ya uongozi wa TBC kupitia Mkurugenzi wa huduma za Redio kuutafuta uongozi wa Manispaa ya Temeke na mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo ambao wamekuwa hawapokei simu wala kutoa ushirikiano.

Hadi muda huu Manispaa inaendelea kuwagawia wananchi maeneo ya biashara katika eneo hilo..
IMG-20211016-WA0039.jpg
IMG-20211016-WA0038.jpg
IMG-20211016-WA0037.jpg
IMG-20211016-WA0036.jpg
 
TBC, Temeke kuingia kwenye mgogoro

Shirika la utangazaji Tanzania na Manispaa ya Temeke huenda zikaingia kwenye mgogoro baada ya ofisi ya mkuu wa wilaya kwa kushirikiana na Mkurugenzi kuvamia eneo linalomilikiwa na TBC eneo la Tazara na kuanza kuwagawia wananchi maeneo ya biashara.

Eneo hilo linamilikiwa kisheria na TBC, lakini licha ya uongozi wa TBC kupitia Mkurugenzi wa huduma za Redio kuutafuta uongozi wa Manispaa ya Temeke na mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo ambao wamekuwa hawapokei simu wala kutoa ushirikiano.

Hadi muda huu Manispaa inaendelea kuwagawia wananchi maeneo ya biashara katika eneo hilo..
View attachment 1976284View attachment 1976285View attachment 1976286View attachment 1976287

6781E7F1-CE84-4E4D-A025-B4F4EECD69E6.jpeg
 
Wameamua kutengeneza habari fasta fasta.
 
Wamachinga katika wilaya ya Temeke wamevamia eneo la TBC na kuanza kujenga mabanda chini ya mnara wa mawasiliano.

Mkurugenzi mtendaji wa TBC Dr Ayoub Rioba amewataka viongozi wa wilaya ya Temeke kutotumia njia za mkato ili tu mamlaka za juu ziwaone wametatua tatizo la machinga.

Chanzo: Swahili Times
Good
 
Huyo naye ana lake jambo!!!mbona eneo hilo ni miaka mingi tu linatumiwa na wafanyabiashara wa matunda?serikali inahangaika pa kuwaweka hao machinga, kuna eneo la serikali lipo wazi, kwanini wasiwekwe kwanza hapo hasa kipindi hiki ambacho serikali haijajipanga vizuri?!!lingekuwa la mtu binafsi sawa.
 
Hilo ni eneo la TBC full stop!
 
Wamachinga katika wilaya ya Temeke wamevamia eneo la TBC na kuanza kujenga mabanda chini ya mnara wa mawasiliano.

Mkurugenzi mtendaji wa TBC Dr Ayoub Rioba amewataka viongozi wa wilaya ya Temeke kutotumia njia za mkato ili tu mamlaka za juu ziwaone wametatua tatizo la machinga.

Chanzo: Swahili Times

Yule Rioba ni masalia ya Mwendakuzimu. Alijiunga na timu ya kusifu na kuabudu asipoangalia atatemwa.

Ukurugenzi wa TBCCM unategemea atacheza vipi karata zake la sivyo watamla kichwa
 
Kipi kibaya alichofanya? Kusema eneo lao tbc limevamiwa ni kosa? Kwani ni uongo kuwa wamachinga wanasumbuliwa na maeneo hawapewi?
 
Hivi mmachinga apewe eneo na nani? Asili ya mmachinga ni kutembea sio kuvunja utaratibu kwa kuweka meza, hivi unajua hao unaowaita wamachinga yale maeneo waliyoweka meza kuna watu wanakula kodi? Raia anatoka huko anajimilikisha eneo la barabara unaona ni sawa?
 
Huyo naye ana lake jambo!!!mbona eneo hilo ni miaka mingi tu linatumiwa na wafanyabiashara wa matunda?serikali inahangaika pa kuwaweka hao machinga, kuna eneo la serikali lipo wazi, kwanini wasiwekwe kwanza hapo hasa kipindi hiki ambacho serikali haijajipanga vizuri?!!lingekuwa la mtu binafsi sawa.
Hakuna kitu kama eneo la serikali lipo wazi

Kila eneo linalomilikiwa na serikali Lina matumizi
 
Back
Top Bottom