sunv
Member
- May 19, 2020
- 44
- 33
Habari wakuu,
Nina mpenzi wangu ambaye nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa, hapo nyuma kidogo tulitofautiana kauli, na alichukizwa saana na maneno niliyomwambia, basi zimepita kama siku mbili nikamuomba appointment lengo tuweke mambo sawa.
Tulikutana akaniambia kwa sasa nimemvunja saana moyo kwa kile nilichomwambia, basi nikamuomba ajaribu kusahau maana binadamu tumeumbiwa makosa, akasema sawa lakini sidhani kama ntarudi kwenye hali iliyokuepo hapo mwanzo, nikamsihi saana.
Ila bado akanonekana kama ana kinyongo na Mimi, ila usiku wa jana akanitoa out kwa gharama zake mwenyewe akasema nisitoe chochote tuka-spend kama laki moja.
Naomba ushauri wenu wakuu vipi niendeleze mahusiano nae au na mm nianze kuwa na kinyongo kama yeye?