Mgodi wowote tanzania pls..

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,723
Reaction score
104,910
Hey there.
Hope mko poa wakuu.
Naomba yoyte mwenye connection ya mgodi wowote hapa Tanzania, ambao wanaweza nichukua kama internship kwa muda wa mwezi m1. Lengo kuu ni kupata mafunzo tu na ideas tu. mimi ni mwanaafunzi Nipo 3rd year Bsc Geology.
Malipo not necessary but nitapenda kama wataweza nipa accommodation and food if possible.
am ready kwenda popote Tanzania, kuanzia 17 feb 2013 to 17 march 2013.
thanks.
contacts: 0759950757
 
Ungeweza kuingia kwenye website zao na kutuma email. Usiamini sana kwenye kubebwa, jivute hatua ni taratibu.

Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…