Mgodi wa Bilioni 5 hata walimu wangenunua

Mgodi wa Bilioni 5 hata walimu wangenunua

Mr. Tutor

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
1,176
Reaction score
2,895
Tanganyika Kuna watumishi walimu wapatao takribani laki mbili na nusu kwa takwimu za mwaka 2020.

Hawa wangeambiwa kila mmoja atoe elfu thelathini 30,000/= ingepatikana Bilioni 6.

Hii ingetosha kununua hisa za mgodi wa makaa ya mawe na faida ya mauzo wangegawana.

Faida yake:
Rasilimali ingeenda kuwanufaisha watu wengi zaidi.

Hii ingeonesha picha halisi ya PPP yaani Public Private Partnership.

Malalamiko ya ya walimu yangepungua kuhusu ugumu wa MAISHA.

Lakini Kwanini apewe mtu mmoja inamaana Watanzania wote tulikosa Bilioni 5?

Soko la hisa mnatangaza watu wakanunue ila uwekezaji wa migodi hamtangazi?

Inasikitisha sana.
 
tatizo sio kununua tatizo ni connection. ALienunua alikuwa ana connection na pia aliahidi % kwa mafisadi.
 
Back
Top Bottom