dhameery yusuph
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 163
- 30
:A S-key: Ngoja waje wakaguzi ili wakupe funguo.
Kivyangu vyangu nakukaribisha sana.
dhameery yusuph mhindi nini?Habari Za Asubuhi Wana JF Chit-Chat
Nimepapenda sana JF Chit-Chat
Naomba kukaribishwa kama new member wa JF Chit-Chat
dhameery yusuph karibu pita ndani,ila kuna wakaguzi hum ndani balaa jiandae
Kapalampya umejuaje
Au wewe ndo mtabiri tambitambi
Karibu kwenye janvi la kijanja
mie ndo naendeleza shughuli za sheikh Yahya hapa CC..
Heaven on earth xo nijiandae kukaguliwa ehe?
Kapalampya nahitaji utabiri mtaa huu....mie ndo naendeleza shughuli za sheikh Yahya hapa CC..
Dah! Itabidi nifike ofc zako
Kapalampya nahitaji utabiri mtaa huu....
hali ni mbaya
endelea unataka utabiri katika anga gani?
yours NEGRODAMAS.
Heaven on earth xo nijiandae kukaguliwa ehe?