Dada shikamoo, naona tunapishanaaaKaribu sana dada wewe. Jisikie upo nyumbani

Marahaba mdogo wangu. Nimekumiss ujue.Dada shikamoo, naona tunapishanaaa![]()
Wa nyumbani huyu daderi kuleeeeKaribu sana dada wewe. Jisikie upo nyumbani
You get what you work for not What you wish for 
Karibu sana. Mi ndio mwenye jina na avatar hiiHellow guys.!!!
Mimi ni mgeni humu japo nilikuwa huku kama Guest,
Nimejiunga Rasmi Leo.
Naombeni mnipokee.
Asanten
Hii nzuri kaka ake.Karibu sana. Mi ndio mwenye jina na avatar hii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jamii Forums mobile app

Niko Zenji hapa, nik tangu juzi.Hii nzuri kaka ake.![]()
![]()
Sasa kaka angu ndio unamtafuta au unamsubiria. Ila nakuaminia kaka akeNiko Zenji hapa, nik tangu juzi.
Jamii Forums mobile app