MamaaRehema
Member
- Feb 13, 2014
- 78
- 18
Habari, mimi ni mgeni humu naombeni ukaribisho.
Mapenzi tele kwako MamaaRehemaHabari, mimi ni mgeni humu naombeni ukaribisho.
Ahsante, sijaolewa badoOk! Karibu Vp Umeolewa? Natafuta Mk
Hahaaa umenifurahisha itabidi nijihadhari naye naogopaga sana watu wa kazi hiyo.....Ahsante jina langu ni RehemaHilo jina ni la kwako au la mtoto? ''Mamaa Rehema''!!! Haya karibu mgeni wetu. Huyo hapo juu jitahidi tu umzoee. Alikua moro na sasa amehamia kigoma. ni muuzaji maarufu wa majeneza.
Ahsante sanaMapenzi tele kwako MamaaRehema
No sijaole na sina mtoto, sio mama rehema ni mamaa Rehema, jina langu ni Rehema japo lipo jengine ila huku natumia hilo. Ahsante kwa ukaribisho.Karibu sana mama rehema!!? Vp baba rehema na rehema hawajambo? Wanajua kama umesafiri kuja huku??
Karibu sana MamaaRehema , umeolewa au bado??Habari, mimi ni mgeni humu naombeni ukaribisho.
Mie bado. Usijali utapata uliyeandikiwa au nikusaidie kutafuta?
Nisaidie bibie, upweke unaniumiza mie.Mie bado. Usijali utapata uliyeandikiwa au nikusaidie kutafuta?
No sijaole na sina mtoto, sio mama rehema ni mamaa Rehema, jina langu ni Rehema japo lipo jengine ila huku natumia hilo. Ahsante kwa ukaribisho.