kahama one
Member
- Jan 14, 2017
- 53
- 37
Kwa tukio kama hilo mkuu we ungefanyaje mgeni wako afanye hivyo tena umempa hifadhi?Hii story ndio inasimuliwa sa hv kua ndio kiachotokea au asubh yao ilishafika tayar?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] damn itKuna jamaa(Alex si jina halisi) imemtokea alipikigiwa cm na class mate wake(tumwite Daniel) anatokea mwanza anaenda arusha sa jamaa akaomba hifadhi YA cku kadhaa awapo arusha,Alex amepanga chumba kimoja na anaishi pekee kisela akaona hauna shida wataishi pamoja,alex alimpokea rafiki Daniel. kimbembe ilipo fika usiku wakati wa kulala,Daniel akainuka akaenda kwenye begi lake akachukua kondomu akavaa na akarudi kitandani kulala bila kusema kitu huku Alex akishuhudia Kila kitu,ungekua wewe ndo Alex mwenye chumba ungefanyaje?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna jamaa(Alex si jina halisi) imemtokea alipikigiwa cm na class mate wake(tumwite Daniel) anatokea mwanza anaenda arusha sa jamaa akaomba hifadhi YA cku kadhaa awapo arusha,Alex amepanga chumba kimoja na anaishi pekee kisela akaona hauna shida wataishi pamoja,alex alimpokea rafiki Daniel. kimbembe ilipo fika usiku wakati wa kulala,Daniel akainuka akaenda kwenye begi lake akachukua kondomu akavaa na akarudi kitandani kulala bila kusema kitu huku Alex akishuhudia Kila kitu,ungekua wewe ndo Alex mwenye chumba ungefanyaje?
namtimua akalale hotelin asinletee mambo ya ajabuKwa tukio kama hilo mkuu we ungefanyaje mgeni wako afanye hivyo tena umempa hifadhi?
Kuna jamaa (Alex si jina halisi) imemtokea alipikigiwa simu na class mate wake (tumwite Daniel) anatokea Mwanza anaenda Arusha sasa jamaa akaomba hifadhi ya siku kadhaa awapo Arusha.
Alex amepanga chumba kimoja na anaishi pekee, kisela akaona hamna shida wataishi pamoja, Alex alimpokea rafiki Daniel.
Kimbembe ilipofika usiku wakati wa kulala, Daniel akainuka akaenda kwenye begi lake akachukua kondomu akavaa na akarudi kitandani kulala bila kusema kitu huku Alex akishuhudia kila kitu.
Ungekua wewe ndo Alex mwenye chumba ungefanyaje?
Huyo jamaa anaotaga ndoto zile za kupiga miti hakutaka kuchafua mashuka ya watu isijeleta taabu na masale shuka linatumika wiki bila kubadilisha!Kuna jamaa (Alex si jina halisi) imemtokea alipikigiwa simu na class mate wake (tumwite Daniel) anatokea Mwanza anaenda Arusha sasa jamaa akaomba hifadhi ya siku kadhaa awapo Arusha.
Alex amepanga chumba kimoja na anaishi pekee, kisela akaona hamna shida wataishi pamoja, Alex alimpokea rafiki Daniel.
Kimbembe ilipofika usiku wakati wa kulala, Daniel akainuka akaenda kwenye begi lake akachukua kondomu akavaa na akarudi kitandani kulala bila kusema kitu huku Alex akishuhudia kila kitu.
Ungekua wewe ndo Alex mwenye chumba ungefanyaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nalitoa gegedo alafu nalipaka KY huku anashuudia laivu,
Sipendagi ujinga mimi