Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Maamae
Duuh!Umepotea sana wewe mtu.
Nipo...sema mida yangu ya giza giza tu...
Kuna umbea gani alasiri hii jamani?
Hahahaaa,Lowassa ndio habari ya mujini.
Hahaah, Mahaba ya Kiba umemuhamishia mzee wa kimasai, sio??
Mama weeee!Nikadhani ni the late Pepe Kale!!!R.I.P
kama nani.....? oops ile sheria ishaanza?Jamaa Ana mwili....