Wewe ni CCM, CHADEMA, CUF au vinginevyo.
Usishtuke kwa kuuliza hayo, kwani nilikuwa nataka nikufahamishe kuwa, hapa JF kama wewe ni CCM na unapinga hoja za wengi humu ambao ni Chadema (Uelewe kuwa wamiliki wa JF ni Chadema), utatukanwa, utakuwa banned, posts zako zitafutwa, huna ruksa ya kulaani au kupinga chochote kinachofanywa au kinachosemwa na chadema hata kapa hakina manufaa au kina maudhi. Oopss, sio tu kuwa banned, utakuwa banned bila kuelezwa sababu za msingi.
Kama wewe ni Chadema basi una RUKSA ya kutukana, kukejeli kusema unachotaka, kufanya stihizai kwa wasio chadema na hauto kuwa banned.
Kama ni CUF, tegemea ya hayo yanayowapta CCM.
Karibu JF.