Mamylicious
Senior Member
- Apr 22, 2017
- 110
- 100
Habari! Mimi mgeni naomba mnipokee.
Asante Sana miserymanKaribu Mamylicous
kwa niniHio Avatar yako nahisi umeitoa ufaransa.
Asante BAKKaribu jamvini kwetu.
Asante harder kingKaribu mgeni jiskie upo jf
Kweli ati. AsanteKaribia had jikon mwanamke hana ugeni
KumbeeInabid uweke picha yako ili tukuone vizuri
Nimekata shauri nimeamua kujaKarbu sana ataivo nimekusubir sana maana wewe ni muoga sana nimekwambia tujiunge ukasema unaogppa mbna sasa umekuja.
Ila karbu jukwaani mamy
AsanteKaribu sana