Fanya kunielimisha kuhusu matumizi ya mtandao.Karibu mgeni
ID yako ya zamani iko wapi?
karibu sana.
We ni me au ke. Kama me karibu kama ke njoo pm kuna vitu inabidi nikuelekeze ili uweze kuitumia JF vizuri zaidi
Kazi ipo aisee..............[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.