mgeni najitambulisha

winstone

New Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
1
Reaction score
0
najitambulisha kwenu mm winstone napenda 2shirikiane kimawazo kuhusu mambo mbalimbali
 
karib sana, naitwa klorokwini zamani nilikuwa jukwaa la mahusiano lakini nategemea kuhamia rasmi jukwaa la chit chat. chadema oyeee! karib sana
 
karibu sana mie nimeshakuwa mwenyeji
ukiingia huku usisahau kufanya kazi maana kuna uhondo huooooo
 
Karibu kijana, wengine ndio tuakomaakomaa ila usinogewe na ukaacha kufanya kazi zako nchi iliisahuzwa hii
 
hakuna shaka mgeni 2meshakutambua,karibu jamvini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…