Hi all!
Mm si mgeni sana wala si mwenyeji sana hapa. Si mgeni kwasababu nimechelewa sana kujiunga kutokana na sababu kadhaa. Si mwenyeji kwasababu sikujua kama kuna majukwaa ambayo wanayaona walio wanachama tu. Kwahiyo, nastahili kupiga hodi. Hodi! Hodi! Hodi!