Mgeni mwalikwa???

Habar kaka mshana samahan eti kuna uhusiano gani kati ya Mfupa wa Nguruwe na Kukinga Wachaw katka nyunba???
 
Hivyo vitu viwili havipatani kabisa
Kwa hyo kama mtu pia anataka jikinga na wachawi nyumban kwake anaweza weka mifupa ya nguruwe na aweke kwa staili ipi? Mana nimeona uzi wako kuna kuvaa nguo kuigeuza ...ndala kuzigeuza ..kutembea kinyume nyume .nk.
 
Darini kwenye pembe za chumba au hata uvunguni mwa kitanda
 
Darini kwenye pembe za chumba au hata uvunguni mwa kitanda
Asante sana mana kila siku naota nakula nyama na mbaya zaidi nikiwa nalala saiv sishtuk mpka asubuh hata kama nililala mchana saa nne usiku tayar naanza sinzia kingine nikiamka nakuwa nimejaa tumbo /kuvimbiwa na sitaweza kunywa chai wala chochote mpka saa 6 mchana na kuendelea......pole kwa kuuliza jambo tofaut ndani ya uzi wako ubarikiwe kaka
 
Mmh jaribu hiyo tafadhali
Halafu tafuta mavumba yanaitwa makata, yanapatikana kwenye haya masoko ya kienyeji au tafuta penye wasambaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]
 
Mmh jaribu hiyo tafadhali
Halafu tafuta mavumba yanaitwa makata, yanapatikana kwenye haya masoko ya kienyeji au tafuta penye wasambaa
Halafu nayafanyaje ndugu yang mana saiv nakula mara moja kwa siku tu na tumbo utadhan nina mimba jamn
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…