Safi sana wewe basi wewe sio mgeni tena ni vile tu ulikuwa hauwezi kuchangia mawazo yako sasa now uko huru kuchangia kwenye nyuzi za GENTAMYCINE.
WELCOME TO THE HOME OF GREAT THINKERS
Hello everyone my name is Samantha Lewthwaite am thrilled to join JamiiForums today,I was a guest almost 6 years back but I decided to join today after being limited to view thread AKhsante nawapenda sana

Karibu sana ila ni nyuzi gani ulikua limited nazo mana umejiunga rasmi jana lakini mada zako unazo likes na kucheka au kuchangia ni zile zinazohusu serikali tu hasa hizi dhahama zinazoendelea kutokea mada nyingi za hivyo nakuona ndio zimekusukuma ujiunge rasmi ? Haya karibu bibie alafu umenikumbusha kitu hiyo Avatar yako yule mdada kule west gate ,pamoja na yote karibu.