Mgeni mimi humu

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
48
Hello,
Habari za hapa nyumbani kwenu?
Nimepapenda nimeamua kuwa mtoto wa familia hii kubwa yenye uwezo mkubwa wa ku........
 
Karibu sana Wakupendwa!!!
 
Hivi kama ukibadilisha jina la ukoo na kuwa la kwangu litasomeka hivi

Wakupendwa Mpendwa!!!!
 
Hello,
Habari za hapa nyumbani kwenu?
Nimepapenda nimeamua kuwa mtoto wa familia hii kubwa yenye uwezo mkubwa wa ku........

karibu, but kaa mbali na chwe chwe asije kufanya uloose mind bure! Fuata nyayo zangu utafanikiwa
 
Karibu sana,
naamini utakuwa umekuja kusaidiana nasi katika kuliendeleza jamvi letu kwa busara na hekima aliyekujalia maanani.

KARIBU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…