kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 May 7, 2014 #2 hizo mbio zake zitavunja rekodi ya dunia
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,544 Reaction score 30,100 May 7, 2014 #3 Aliingiaje angali chini ni tiles..angepata shida ku-move ..
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 May 7, 2014 #4 kashesho said: hizo mbio zake zitavunja rekodi ya dunia Click to expand... Nadhani hata Bolt akikufukuza ataambulia vumbi tu
kashesho said: hizo mbio zake zitavunja rekodi ya dunia Click to expand... Nadhani hata Bolt akikufukuza ataambulia vumbi tu
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 May 7, 2014 #5 kapitia mlango gani huyu?
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 May 7, 2014 #6 Shikamoo baba klokodaili
Bin Mngereza JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 610 Reaction score 269 May 8, 2014 #7 Na kamba shingoni!!!!!!!
Mdoe Snr Senior Member Joined Mar 5, 2014 Posts 115 Reaction score 30 May 8, 2014 #8 hapo usinitanie kabisaaa
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,229 Reaction score 15,645 May 8, 2014 #9 Lazima nitajihami kivyovyote,mbio itakuwa hatua ya mwisho...