masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,886
- 15,101
View attachment 63708
Hii ni mitaa ya Buguruni, Nelson Mandela Rd.
Jamaa wanagema mafuta kutoka kwenye matenka mchana kweupee!
Tusubiri mvuta sigara tu apite siku moja mitaa hii na barabara yote itawaka moto.
Mkuu siyo kwamba hawaoni ila wanadharau tu.Hawa jamaa wanafanya kitu kimoja cha hatari sana.Kama kawaida, wanaohusika hawana habari kabisa na hilo lakini moja likilipuka ndio utaona kila mtu anajifanya ana uchungu na kuguswa. This Country Bwana......
Mambo kama haya yaliteketeza kijiji kizima nigeria.
is very poor but idont know why.Hawa jamaa wanafanya kitu kimoja cha hatari sana.Kama kawaida, wanaohusika hawana habari kabisa na hilo lakini moja likilipuka ndio utaona kila mtu anajifanya ana uchungu na kuguswa. This Country Bwana......
is very poor but idont know why.
View attachment 63708
Hii ni mitaa ya Buguruni, Nelson Mandela Rd.
Jamaa wanagema mafuta kutoka kwenye matenka mchana kweupee!
Tusubiri mvuta sigara tu apite siku moja mitaa hii na barabara yote itawaka moto.
Nigeria mbali kote huko mama pale Idweli(Mbeya) tu tabia hiyo ilisababisha makumi ya watu kubanikwa kama mishkaki sijui wahusika huwa wanalala usingizi..??
Nakumbuka Alfred Masako aliitangaza kwa mbwembwe kweli.Weeenye madumu haaya,wenye sufuria twendeee,wengine walibeba hadi vijiko.Nikiripoti kutoka Mbeya mimi ni Bety Mkwasa samahani,ni Alfred ****** kumradhi tena,ni Alfred Masako wa Aiii Ti Vi.